Menu

VOLLEYBALL: KOZI YA UKOCHA DAR ES SALAAM KATIKA PICHA

Washiriki wa kozi ya Ukocha daraja la kwanza (Kimataifa) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukamilika kwa kozi hiyo kwa siku ya kwanza katika viwanja vya JM Kikwete Youth Park Kariakoo Dar es Salaam

Washiriki wa kozi wakiwa katika mtihani wa utambulisho kabla ya kuanza kwa kozi hiyo katika chumba maalumu kilichopo katika eneo hilo la JM Kikwete Youth Park Kariakoo Dar es Salaam

Washiriki wa kozi ya ukocha wakiwa makini kumsikiliza mkufufunzi wa kozi hiyo katika moja ya vipindi vya darasani vilivyokuwa vinaendelea katika viwanja vya JM Kikwete Youth Park jijini Dar es Salaam

Mmoja wa washiriki wa kozi ya ukocha akiwa katika utekelezaji wa mafunzo kwa vitendo ikiwa ni sehemu mojawapo ya mafunzo hayo yanayotolewa katika viwanja vya JM Kikwete Youth Park Kariakoo jijini Dar es Salaam

Mmoja wa washiriki wa kozi ya ukocha akifuatilia kwa umakini mafundisho yanayotolewa na mkufunzi wa kozi hiyo ikiwa ni sehemu ya mafunzo kwa nadharia katika viwanja vya JM Kikwete Youth Park Kariakoo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya mipira inayotumika katika ufundishwaji wa kozi hiyo ya ukocha katika kipengere cha mafunzo kwa vitendo

(Picha kwa hisani ya DAREVA)

Comments

comments

Please follow & like us

Video

Tweets