Menu

AZAM FC YAIPIGIA JALAMBA STAND UNITED (PICHA)

Jumatano ya Kesho, Azam itapambana na Stand United katika mchezo wa ligi kuu Soka Tanzania Bara (VPL) katika Uwanja wa Azam Complex ikiwa ni baada a kuichabanga Bidvest ya Afrika Kusini katika mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika.

Haya ni baadhi ya matukio yaliyojiri kwenye mazoezi ya timu hiyo jioni ya jana kwenye uwanja wa Azam Complexazam2

azam3

azam4

azam5

azam8

azam9

azam

Comments

comments

Please follow & like us

Video

Tweets