Menu

RATIBA YA HATUA YA ROBO FAINALI UEFA CHAMPIONS LEAGUE HII HAPA…….

Hatimaye Ratiba ya robo fainali ya mashindano ya Klabu bingwa barani Ulaya, maarufu kama UEFA Champions League imeshapagwa huko jijini Nyon nchini Uswisi ambapo vigogo nane vilivyosalia kwenye hatua hiyo vitakutana.

nyon

Droo hiyo ambayo imepangwa muda mfupi uliopita huko jijini Nyon nchini Uswizi inasomeka kama ifuatavyo.

Wolfburg VS Real Madrid

Bayern Munich VS Benfica

Barcelona VS Atletico Madrid

Paris Saint German VS Manchester City

Mechi za mzunguko wa kwanza zitachezwa tarehe 5 na 6 mwezi Aprili wakati mechi za marudiano zitachezwa tarehe 12 na 13 April mwaka huu na baada hapo droo ya nusu fainali itapangwa tarehe15 April

 

 

Comments

comments

Please follow & like us

Video

Tweets