Menu

HIVI NDIVYO SAFARI YA REAL MADRID KUELEKEA JIJINI MILANO ILIVYOKUWA

Real Madrid wamefuzu kucheza hatua ya fainali ya Michuano ya Klabu bingwa Ulaya baada ya kuwafunga Man City kwa bao 1-0 na sasa watakutana na mahasimu wao Atletico Madrid ambao nao walimuondosha Bayern Munich.

Madrid walishinda bao 1-0 lililofungwa na Gareth Bale na kufuzu kwa fainali ya 14 katika historia ya michuano hiyo ambapo sasa fainali kati ya mahasimu hao kwenye michuano hii ya Ulaya itakuwa ni ya pili ndani ya misimu mitatu, huku fainali ya mwaka huu ikipigwa katika dimba la San Siro jijini Milano.

Comments

comments

Please follow & like us

Video

Tweets