Menu

MICHEZO YA OLIMPIKI RIO 2016: ORODHA YA TIMU 15 ZINAZOONGOZA KWA MEDALI, BRAZIL HAYUMO

Michezo ya Olimpiki imeingia siku ya tano huku washiriki wakiendelea kuyaletea mataifa yao medali kila kukicha. Na mpaka kufikia leo hii ndio orodha ya nchi 15 zinazoongoza kwa medali. lakini cha kustaajabisha ni kuwa mwenyeji Brazil hayupo kwenye orodha hiyo mpaka sasa wala nchi yoyote kutoka bara la Afrika.

 

table

Comments

comments

Please follow & like us

Video

Tweets