Menu

RIO 2016: MWANARIADHA WA MITA 400 ATWAA MEDALI YA DHAHABU KWA STAILI YA KUPIGA MBIZI

Mwanariadha kutoka Bahamas, Shaunae Miller mwenye umri wa miaka 22 amefanya kituko cha mwaka kwenye mashindano ya Olimpiki yanayoendelea huko nchini Brazil baada ya kumaliza katika nafasi ya kwanza ya mbio za mita 400 kwa staili ya kuruka na kutanguliza mikono, staili ambayo imemfanya kutwaa medali ya dhahabu kwa upande wa wanawake na kumshinda Mmarekani Allyson Felix kutoka Marekani ambaye alionekana kuwa ndiye angemaliza katika nafai ya kwanza.

Katika mbio hizo za mita 400, Miller alimaliza katika nafasi ya kwanza baada ya kutumia sekunde 49.44 akifuatiwa na Mmarekani Allyson Felix aliyetumia sekunde 49.51 na kutwaa medali ya fedha huku mjamaica Shericka Jackson akitwaa medali ya shaba baada ya kumaliza katika nafasi ya tatu.

 

Shaunae Miller put in a last-gasp dive to beat Allyson Felix to gold Allyson Felix

The hilarious photo finish showed how Shaunae Miller dived for the line to win her OIympic gold medal

 

Comments

comments

Please follow & like us

Video

Tweets