Menu

USAIN BOLT AFANYA UFUSKA NA BINTI WA MIAKA 20 KLABU YA USIKU AKISHEREKEA USHINDI

Baada ya bnadamu mwenye kasi zaidi duniani Usain Bolt kutwaa medali zake tatu za dhahabu kwenye mashindano ya Olimpiki yaliyofungwa rasmi hapo jana huko jijini Rio nchini Brazil, Mjamaica huyo alionekana kwenye klabu ya usiku akiwa na kabinti ka miaka 20 wakiponda raha ikiwa ni usiku huohuo ambao pia alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Jady Duarte ambaye ni mwanafunzi raia wa Brazil alipost picha Whatsapp ambazo zikimuonesha akiponda raha na Bolt kwa kukumbatiana na kubusiana ambazo zilisambaa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini humo.

Usain Bolt appears to be hugging 20-year-old student Jady Duarte from behind in one photo

Usain Bolt appears to kiss Jady Duarte on the cheek despite having a long-term girlfriend in another picture

Bolt ambaye alitimiza miaka 30 hapo jana alisherekea akiwa klabu mpaka mida ya alfajiri huko Barra de Tijuca jijini Rio.

Usain Bolt dances with a twerking club goer on Sunday at club All In

The Jamaican sprint king enjoyed his 30th birthday celebrations in the Rio hotspot

Usain Bolt steals the attention of the club with his dancing antics on stage

Usain Bolt reportedly sent security over to Jady Duare to get her attention

Akiongea na tovuti ya The Sun, binti huyo alidai kuwa Usain Bolt ndiye aliyetuma walinzi kuja kumuita ambapo mara ya kwanza hakujua ni nani anayemuita

“Alituma walinzi kuja kuniita lakini kwa wakati huo sikujua alikuwa ni nani kwasababu walikuwepo wajamaica wengi”.

Msichana huyo aligoma kueleza nini kiliendelea kati ya wawili hao na kudai kuwa hakukuwa na cha zaidi

Hata hivyo taarifa zaidi zinaonesha kuwa Bolt ambaye ni mshindi wa medali tatu za dhahabu kwenye mbio za mita 100, mita 200 na mbio za kupokezana vijiti, ana mchumba ambaye wamedumu kwenye mahusiano kwa kipindi cha miaka miwili sasa.

Chanzo: The Sun

 

 

Comments

comments

Please follow & like us

Video

Tweets