Menu

CHELSEA YAKARIBIA KUMNASA MRITHI WA IVANOVIC KUTOKA INTER MILAN

Tovuti ya Sky Sports inaripot kuwa klabu ya Chelsea ipo kwenye mpango wa kumsaini Winga wa klabu ya Inter Milan, Mfaransa Jonathan Biabiany kwa mkopo mpaka mwishoni mwa msimu

Chelsea wapo mbioni kumuuza beki wao Branislav Ivanovic kwa klabu ya Zenit ya nchini urusi ambapo kocha Antonio Conte anamuona Biabiany mwenye miaka 28 kama mrithi sahihi wa Ivanovic ambaye atacheza kama winga mkabaji akiwa ni mbadala wa Victor Moses.

Comments

comments

Please follow & like us

Video

Tweets